Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Mark 10:19, »Thou knowest the commandments...«

10 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Mark 10:19, »Thou knowest the commandments...«

  1. Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.

  2. Usiue.

  3. Usizini.

  4. Usiibe.

  5. Usimshuhudie jirani yako uongo.

  6. Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”

  7. Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Yesu akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo,

  8. waheshimu baba yako na mama yako, na umpende jirani yako kama nafsi yako.”

  9. Unazijua amri: ‘Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, usidanganye, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”

  10. Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”