Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 4:6, »He shall give His angels charge...«

5 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 4:6, »He shall give His angels charge...«

  1. Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.

  2. Mikononi mwao watakuinua, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.

  3. akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake, nao watakuchukua mikononi mwao ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”

  4. kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde;

  5. nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”