Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 1:5, »I will be to him a Father...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 1:5, »I will be to him a Father...«

  1. Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.

  2. Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mungu alipata kumwambia, “Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa?” Au tena, “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu?”