Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 2:6, »What is man, that thou art mindful of him...«

6 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 2:6, »What is man, that thou art mindful of him...«

  1. mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?

  2. Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima.

  3. Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.

  4. Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema: “Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?

  5. Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,

  6. nawe umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.” Kwa kuweka vitu vyote chini yake, Mungu hakuacha kitu chochote ambacho hakukiweka chini ya mwanadamu. Lakini kwa sasa, hatuoni kwamba kila kitu kiko chini yake.