Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Galatians 3:12, »The man that doeth them shall live in them.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Galatians 3:12, »The man that doeth them shall live in them.«

  1. Zishikeni amri zangu na sheria zangu, kwa maana mtu anayezitii ataishi kwa hizo. Mimi ndimi Bwana.

  2. Lakini sheria haitegemei imani. Kinyume chake, “Mtu atendaye matendo hayo ataishi kwa hayo.”