Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 4:7, »Blessed are they whose iniquities...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 4:7, »Blessed are they whose iniquities...«

  1. Zaburi ya Daudi. Funzo. Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa.

  2. Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.

  3. “Wamebarikiwa wale ambao wamesamehewa makosa yao, ambao dhambi zao zimefunikwa.

  4. Heri mtu yule Bwana hamhesabii dhambi zake.”