Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 10:18, »Their sound went into all the earth...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 10:18, »Their sound went into all the earth...«

  1. Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua,

  2. Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana: “Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu.”