Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Acts 1:20, »Let his habitation be desolate...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Acts 1:20, »Let his habitation be desolate...«

  1. Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao.

  2. Siku zake za kuishi na ziwe chache, nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine.

  3. “Kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Zaburi, “ ‘Mahali pake na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi humo,’ na, “ ‘Mtu mwingine aichukue nafasi yake ya uongozi.’