Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: 1 Peter 2:24, »By whose stripes ye were healed.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu 1 Peter 2:24, »By whose stripes ye were healed.«

  1. Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, alichubuliwa kwa ajili ya maovu yetu; adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake, na kwa majeraha yake sisi tumepona.

  2. Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili tufe kwa mambo ya dhambi, bali tupate kuishi katika haki. Kwa kupigwa kwake, ninyi mmeponywa.