Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Luke 2:24, »A pair of turtledoves...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Luke 2:24, »A pair of turtledoves...«

  1. Kama huyo mwanamke hana uwezo wa kumpata mwana-kondoo, ataleta hua wawili au makinda mawili ya njiwa, moja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa na mwingine kwa ajili ya sadaka ya dhambi. Kwa njia hii, kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake, naye atakuwa safi.’ ”

  2. na pia kutoa dhabihu kulingana na yale yaliyonenwa katika Sheria ya Bwana: “Hua wawili au makinda mawili ya njiwa.”