Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: 1 Peter 1:24, »For all flesh is as grass...«

5 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu 1 Peter 1:24, »For all flesh is as grass...«

  1. Sauti husema, “Piga kelele.” Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni.

  2. Majani hunyauka na maua huanguka, kwa sababu pumzi ya Bwana huyapuliza. Hakika wanadamu ni majani.

  3. Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.”

  4. Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka,

  5. lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.