Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 11:3, »Lord, they have killed thy prophets...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 11:3, »Lord, they have killed thy prophets...«

  1. Akajibu, “Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. Waisraeli wamelikataa Agano lako, wamevunja madhabahu zako na kuwaua manabii wako kwa upanga. Ni mimi, mimi peke yangu, niliyebaki, nao sasa wananitafuta ili waniangamize.”

  2. Alisema, “Bwana, wamewaua manabii wako na kuzibomoa madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?”