Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Luke 2:23, »Every male that openeth the womb...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Luke 2:23, »Every male that openeth the womb...«

  1. “Niwekeeni wakfu kila mzaliwa wa kwanza wa kiume. Kila mtoto wa kwanza aliye kifungua tumbo miongoni mwa Waisraeli ni mali yangu, akiwa wa mwanadamu au wa mnyama.”

  2. inakupasa kumtolea Bwana mzaliwa wa kwanza wa kila tumbo. Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume wa mifugo yako ni mali ya Bwana.

  3. (kama ilivyoandikwa katika Sheria ya Bwana, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Bwana”),