Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 15:4, »He that curseth father...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 15:4, »He that curseth father...«

  1. “Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe.

  2. Kwa maana Mungu alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’

  3. Kwa mfano, Mose alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’