Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Luke 1:17, »...to turn the hearts of the fathers...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Luke 1:17, »...to turn the hearts of the fathers...«

  1. Ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, la sivyo nitakuja na kuipiga nchi kwa laana.”

  2. Naye atatangulia mbele za Bwana katika roho na nguvu ya Eliya, ili kuigeuza mioyo ya baba kuwaelekea watoto wao, na wasiotii warejee katika hekima ya wenye haki, ili kuliweka tayari taifa lililoandaliwa kwa ajili ya Bwana.”