Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 3:4, »That thou mightest be justified in thy sayings...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 3:4, »That thou mightest be justified in thy sayings...«

  1. Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, na kuwa na haki utoapo hukumu.

  2. La hasha! Mungu na aonekane mwenye haki, na kila mwanadamu kuwa mwongo, kama ilivyoandikwa: “Ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena, na ukashinde utoapo hukumu.”