Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 5:33, »Thou shalt not forswear thyself...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 5:33, »Thou shalt not forswear thyself...«

  1. Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.

  2. “ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.

  3. Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.

  4. “Tena mmesikia walivyoambiwa watu wa zamani kwamba, ‘Usiape kwa uongo, bali timiza kiapo kile ulichofanya kwa Bwana.’