Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Galatians 4:30, »Cast out the bondwoman and her son...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Galatians 4:30, »Cast out the bondwoman and her son...«

  1. Sara akamwambia Abrahamu, “Mwondoe mwanamke huyo mtumwa pamoja na mwanawe, kwa kuwa mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatarithi pamoja na mwanangu Isaki.”

  2. Lakini Maandiko yasemaje? “Mwondoe mwanamke mtumwa pamoja na mwanawe, kwa sababu mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatarithi pamoja na mwana wa aliye huru.”