Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 9:27, »Though the number of the children of Israel...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 9:27, »Though the number of the children of Israel...«

  1. Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu watakaorudi. Maangamizi yamekwisha amriwa, ni mengi tena ni haki.

  2. Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atatekeleza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.

  3. Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli: “Ingawa idadi ya wana wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu watakaookolewa.

  4. Kwa kuwa Bwana ataitekeleza hukumu yake duniani kwa haraka na kwa ukamilifu.”