Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 19:5, »For this cause shall a man leave...«

5 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 19:5, »For this cause shall a man leave...«

  1. Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

  2. naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?

  3. Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’

  4. Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja.

  5. “Kwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”