Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 3:15, »Their feet are swift to shed blood...«

5 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 3:15, »Their feet are swift to shed blood...«

  1. Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, ni myepesi kumwaga damu isiyo na hatia. Mawazo yao ni mawazo maovu; uharibifu na maangamizi huonekana katika njia zao.

  2. Hawajui njia ya amani, hakuna haki katika mapito yao. Wameyageuza kuwa njia za upotovu, hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani.

  3. “Miguu yao ina haraka kumwaga damu;

  4. maangamizi na taabu viko katika njia zao,

  5. wala njia ya amani hawaijui.”