Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 2:15, »Out of Egypt have I called my son.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 2:15, »Out of Egypt have I called my son.«

  1. “Wakati Israeli alipokuwa mtoto, nilimpenda, nilimwita mwanangu kutoka Misri.

  2. ambako walikaa mpaka Herode alipofariki. Hili lilifanyika ili litimie lile lililonenwa na Bwana kwa kinywa cha nabii kusema: “Nilimwita mwanangu kutoka Misri.”