Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 1:8, »Thy throne, O God, is for ever and ever...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 1:8, »Thy throne, O God, is for ever and ever...«

  1. Ee Mungu, kiti chako cha enzi kitadumu milele na milele, fimbo ya utawala wa haki itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako.

  2. Unaipenda haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako, kwa kukupaka mafuta ya furaha.

  3. Lakini kwa habari za Mwana asema, “Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitadumu milele na milele, nayo haki itakuwa fimbo ya utawala ya ufalme wako.

  4. Umependa haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako kwa kukupaka mafuta ya furaha.”