Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Luke 23:30, »...say to the mountains, Fall on us...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Luke 23:30, »...say to the mountains, Fall on us...«

  1. Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu pataharibiwa: ndiyo dhambi ya Israeli. Miiba na mibaruti itaota na kufunika madhabahu zao. Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” na vilima, “Tuangukieni!”

  2. Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’