Mistari ya Biblia Bila Mpangilio Kutoka Biblia Nzima

Neno 29,378 kati ya 31,102
Mpangilio wa Herufi
Ukubwa wa Maandishi 100%
Aina ya herufi
Hawa wa mwisho wanamhubiri Kristo kwa moyo wa upendo, wakifahamu kwamba nimo humu gerezani kwa ajili ya kuitetea Injili. Hao wa kwanza wanamtangaza Kristo kutokana na tamaa zao wenyewe wala si kwa moyo mweupe, bali wanakusudia kuongeza mateso yangu katika huku kufungwa kwangu.
Wafilipi 1:16-17
Kufungwa kwa Paulo Kunasonga Injili Mbele
Upeo wa mistari

Inatumika kwa mstari wako unaofuata

Upeo wa mistari

Inatumika kwa mstari wako unaofuata

I. Katika muktadha Vifungu 5,439 · Sura 1,189
Fungu Hili Wafilipi 1:12-20
12 Basi, ndugu zangu, nataka mjue kwamba mambo yale yaliyonipata kwa kweli yamesaidia sana kueneza Injili.
13 Matokeo yake ni kwamba imejulikana wazi kwa walinzi wote wa jumba la kifalme na kwa wengine wote kuwa nimefungwa kwa ajili ya Kristo.
+ 7 more verses · Wafilipi 1:12-20
Fungua
Sura Hii Wafilipi 1
1 Waraka wa Paulo na Timotheo, watumishi wa Kristo Yesu: Kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu walioko Filipi, pamoja na waangalizi na mashemasi:
2 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.
3 Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.
+ 27 more · Wafilipi 1
Fungua
III. Ichambue Zana 4 za kujifunza

Nyuma ya kila mstari kwenye tovuti hii kuna seti ya kujifunza Biblia bila malipo — Strong's, marejeo-mtambuka, ufafanuzi wa Matthew Henry, mafundisho ya ibada, uchunguzi wa kina wa mada.

IV. Nenda nayo programu na kiendelezi