Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Acts 7:37, »A prophet shall the Lord your God raise up...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Acts 7:37, »A prophet shall the Lord your God raise up...«

  1. Bwana Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msikilizeni yeye.

  2. Kwa maana Mose alisema, ‘Bwana Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu. Itawapasa kumtii huyo kwa kila jambo atakalowaambia.

  3. “Huyu ndiye yule Mose aliyewaambia Waisraeli, ‘Mungu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe.’