Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 10:13, »...till his enemies be made his footstool.«

9 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 10:13, »...till his enemies be made his footstool.«

  1. Zaburi ya Daudi. Bwana amwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, mpaka nitakapowafanya adui zako kuwa mahali pa kuweka miguu yako.”

  2. “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

  3. Kwa maana Daudi mwenyewe, akinena kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, alisema: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

  4. Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

  5. hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

  6. Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

  7. hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

  8. Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wowote, “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako”?

  9. Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake,