Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Ephesians 6:2-3, »Honour thy father and mother...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Ephesians 6:2-3, »Honour thy father and mother...«

  1. Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.

  2. Waheshimu baba yako na mama yako, kama Bwana Mungu wako alivyokuagiza, ili siku zako zipate kuwa nyingi na kufanikiwa katika nchi Bwana Mungu wako anayokupa.

  3. “Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,

  4. “upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”