Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 9:17, »Even for this same purpose have I raised thee...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 9:17, »Even for this same purpose have I raised thee...«

  1. Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.

  2. Kwa maana Maandiko yamwambia Farao, “Nilikuinua kwa kusudi hili hasa, ili nipate kuonyesha uweza wangu juu yako, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.”