Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 7:7, »I had not known sin, but by the law...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 7:7, »I had not known sin, but by the law...«

  1. Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”

  2. Tuseme nini basi? Kwamba sheria ni dhambi? La, hasha! Lakini, isingekuwa kwa sababu ya sheria, nisingalijua dhambi. Nisingalijua kutamani ni nini kama sheria haikusema, “Usitamani.”