Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 21:16, »Out of the mouth of babes...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 21:16, »Out of the mouth of babes...«

  1. Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi.

  2. Wakamuuliza Yesu, “Je, unasikia hayo hawa wanayosema?” Akawajibu, “Naam; kwani hamkusoma, “ ‘Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa’?”