Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 15:12, »There shall be a root of Jesse...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 15:12, »There shall be a root of Jesse...«

  1. Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda.

  2. Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

  3. Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa. Watu wa Mataifa watamtumaini.”