Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 21:9, »Blessed is he that cometh...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 21:9, »Blessed is he that cometh...«

  1. Heri yule ajaye kwa jina la Bwana. Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki.

  2. Ule umati wa watu uliomtangulia na ule uliomfuata ukapiga kelele ukisema, “Hosana, Mwana wa Daudi!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” “Hosana juu mbinguni!”

  3. Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, “Hosana!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!”

  4. Basi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema, “Hosana!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” “Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!”