Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 4:4, »Man shall not live by bread alone...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 4:4, »Man shall not live by bread alone...«

  1. Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana.

  2. Lakini Yesu akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ ”

  3. Yesu akajibu akamwambia, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu.’ ”