Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 10:13, »For whosoever shall call upon the name...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 10:13, »For whosoever shall call upon the name...«

  1. Na kila mtu atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwepo wokovu, kama Bwana alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao Bwana awaita.

  2. Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.”