Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 12:19, »Vengeance is mine; I will repay.«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 12:19, »Vengeance is mine; I will repay.«

  1. Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.”

  2. Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza,” asema Bwana.

  3. Kwa kuwa tunamjua yeye aliyesema, “Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza.” Tena asema, “Bwana atawahukumu watu wake.”