Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: John 15:25, »They hated me without a cause.«

6 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu John 15:25, »They hated me without a cause.«

  1. Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila.

  2. Wale wanaonichukia bila sababu ni wengi kuliko nywele za kichwa changu; wengi ni adui kwangu bila sababu, wale wanaotafuta kuniangamiza. Ninalazimishwa kurudisha kitu ambacho sikuiba.

  3. Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.

  4. Watawala wamenitesa bila sababu, lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako.

  5. Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege.

  6. Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Sheria kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’