Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 15:8, »This people draweth nigh...«

6 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 15:8, »This people draweth nigh...«

  1. Bwana anasema: “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao na kuniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. Ibada yao kwangu inatokana na maagizo waliyofundishwa na wanadamu.

  2. Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba:

  3. “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

  4. Huniabudu bure; nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ ”

  5. Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa: “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

  6. Huniabudu bure, nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’