Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: John 19:36, »A bone of him shall not be broken.«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu John 19:36, »A bone of him shall not be broken.«

  1. “Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.

  2. huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika.

  3. Kwa maana mambo haya yalitukia ili Maandiko yapate kutimia, yale yasemayo, “Hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa.”