Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 9:12, »The elder shall serve the younger.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 9:12, »The elder shall serve the younger.«

  1. Bwana akamjibu, “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, na mataifa hayo mawili kutoka ndani yako watatenganishwa. Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”

  2. si kwa matendo, bali kwa yeye mwenye kuita, Rebeka aliambiwa, “Yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”