Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 4:17, »I have made thee a father of many nations.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 4:17, »I have made thee a father of many nations.«

  1. Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu, kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.

  2. Kama ilivyoandikwa: “Nimekufanya wewe kuwa baba wa mataifa mengi.” Yeye ni baba yetu mbele za Mungu, ambaye yeye alimwamini, yule Mungu anaye fufua waliokufa, na kuvitaja vile vitu ambavyo haviko kana kwamba vimekwisha kuwako.