Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 9:29, »Except the Lord of Sabaoth had left us a seed...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 9:29, »Except the Lord of Sabaoth had left us a seed...«

  1. Kama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asingelituachia walionusurika, tungelikuwa kama Sodoma, tungelifanana na Gomora.

  2. Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema: “Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote asingelituachia uzao, tungelikuwa kama Sodoma, tungelifanana na Gomora.”