Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 2:24, »For the name of God is blasphemed...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 2:24, »For the name of God is blasphemed...«

  1. “Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana. “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” asema Bwana. “Mchana kutwa jina langu limetukanwa bila kikomo.

  2. Kama ilivyoandikwa, “Kwa ajili yenu ninyi, Jina la Mungu linatukanwa miongoni mwa watu wa Mataifa.”