Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 9:26, »And it shall come to pass, that in the place...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 9:26, »And it shall come to pass, that in the place...«

  1. “Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’

  2. tena, “Itakuwa hasa mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’ ”