Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: 1 Peter 5:5, »For God resisteth the proud...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu 1 Peter 5:5, »For God resisteth the proud...«

  1. Huwadhihaki wale wanaodhihaki, lakini huwapa neema wale wanyenyekevu.

  2. Lakini yeye hutupatia neema zaidi. Hii ndiyo sababu Andiko husema: “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”

  3. Vivyo hivyo, ninyi mlio vijana watiini wazee. Nanyi nyote imewapasa kujivika unyenyekevu kila mtu kwa mwenzake, kwa kuwa, “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”