Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Acts 13:47, »I have set thee to be a light...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Acts 13:47, »I have set thee to be a light...«

  1. yeye asema: “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kurejeza makabila ya Yakobo, na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.”

  2. Kwa maana hili ndilo Bwana alilotuamuru: “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”