Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 11:18, »That in Isaac shall thy seed be called.«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 11:18, »That in Isaac shall thy seed be called.«

  1. Lakini Mungu akamwambia, “Usihuzunike hivyo kwa sababu ya kijana na mtumishi wako wa kike. Sikiliza lolote Sara analokuambia, kwa sababu uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaki.

  2. Wala hawakuwi wazao wa Abrahamu kwa sababu wao ni watoto wake, lakini: “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaki.”

  3. Ingawa Mungu alikuwa amemwambia Abrahamu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaki,”