Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: John 19:37, »They shall look on him whom they pierced.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu John 19:37, »They shall look on him whom they pierced.«

  1. “Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.

  2. Tena Andiko lingine lasema, “Watamtazama yeye waliyemchoma.”