Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 27:9, »And they took the thirty pieces of silver...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 27:9, »And they took the thirty pieces of silver...«

  1. Nikawaambia, “Mkiona kuwa ni vyema, nipeni ujira wangu, la sivyo, basi msinipe.” Kwa hiyo wakanilipa vipande thelathini vya fedha.

  2. Naye Bwana akaniambia, “Mtupie mfinyanzi,” hiyo bei nzuri waliyonithaminia! Kwa hiyo nikachukua hivyo vipande thelathini vya fedha na kumtupia huyo mfinyanzi katika nyumba ya Bwana.

  3. Ndipo likatimia lile lililonenwa na nabii Yeremia, kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na watu wa Israeli,

  4. wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.”