Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: 2 Timothy 2:19, »The Lord knoweth them that are his.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu 2 Timothy 2:19, »The Lord knoweth them that are his.«

  1. Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye.

  2. Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.”